2 Wafalme 4:3
2 Wafalme 4:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Elisha akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4