2 Wafalme 4:5
2 Wafalme 4:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi akamwacha, akajifungia mlango yeye na wanawe; hao wakamletea vile vyombo, na yeye akamimina.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yule mjane akaondoka na kujifungia ndani, yeye na wanawe. Wao wakamletea vyombo, naye akaendelea kumimina mafuta.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4