2 Wafalme 4:6
2 Wafalme 4:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, vilipokwisha kujaa vile vyombo, akamwambia mwanawe, Niletee tena chombo. Akamwambia, Hakuna tena chombo. Mafuta yakakoma.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Vyombo vyote vilipojaa, akamwambia mwanawe, “Niletee chombo kingine.” Lakini mwanawe akajibu, “Hakuna chombo kingine kilichobaki.” Basi mafuta yakakoma kutiririka.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4