2 Wafalme 4:7
2 Wafalme 4:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo akaja akamwambia yule mtu wa Mungu. Naye akasema, Enenda ukayauze mafuta haya, uilipe deni yako; nayo yaliyosalia uyatumie wewe na watoto wako.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 42 Wafalme 4:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yule mwanamke akaenda akamwambia yule mtu wa Mungu, naye mtu wa Mungu akasema, “Nenda ukayauze hayo mafuta ulipe madeni yako. Wewe na wanao mnaweza kuishi kwa kile kinachosalia.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 4