2 Wafalme 5:10
2 Wafalme 5:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Elisha akamtuma mtumishi wake amwambie, “Nenda ukaoge mara saba mtoni Yordani, nawe utapona kabisa.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 52 Wafalme 5:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Nenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 5