2 Wafalme 5:14
2 Wafalme 5:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Naamani akateremka mtoni Yordani akajitumbukiza humo mara saba, kama alivyoagizwa na Elisha mtu wa Mungu, naye akapona kabisa. Ngozi yake ikawa imara na yenye afya kama ya mtoto mdogo.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 52 Wafalme 5:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 5