2 Wafalme 6:15
2 Wafalme 6:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6