2 Wafalme 6:17
2 Wafalme 6:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Elisha akaomba, akasema, Ee BWANA, nakusihi, mfumbue macho yake, apate kuona. BWANA akamfumbua macho yule mtumishi; naye akaona; na tazama, kile kilima kilikuwa kimejaa farasi na magari ya moto yaliyomzunguka Elisha pande zote.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Elisha akaomba, akasema, Ee BWANA, nakusihi, mfumbue macho yake, apate kuona. BWANA akamfumbua macho yule mtumishi; naye akaona; na tazama, kile kilima kilikuwa kimejaa farasi na magari ya moto yaliyomzunguka Elisha pande zote.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6