2 Wafalme 6:5
2 Wafalme 6:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmoja wao alipokuwa anakata miti, shoka lake likachomoka na kuanguka majini; akalia, akisema, “Sasa bwana wangu nitafanya nini? Shoka hili tulikuwa tumeliazima!”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mmojawapo alipokuwa katika kukata boriti, chuma cha shoka kikaanguka majini; akalia, akasema, Ole wangu! Bwana wangu, kwani kiliazimiwa kile.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6