2 Wafalme 6:6
2 Wafalme 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Elisha akauliza, “Liliangukia wapi?” Mtu huyo akamwonesha. Elisha akakata kijiti na kukitupa majini na papo hapo shoka likaelea juu ya maji.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu wa Mungu akasema, Kilianguka wapi? Akamwonesha mahali. Akakata kijiti, akakitupa pale pale, chuma kikaelea.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6