2 Wafalme 7:3
2 Wafalme 7:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kulikuwa na watu wanne wenye ugonjwa wa ukoma waliokuwa nje ya milango ya mji wa Samaria ambao walisemezana, wao kwa wao, “Mbona tunakaa hapa tukifa njaa?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 72 Wafalme 7:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi walikuwapo watu wanne wenye ukoma, penye lango la mji; wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 7