2 Petro 1:10
2 Petro 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo basi, ndugu zangu, fanyeni bidii zaidi kuufanya huo wito wenu mlioitiwa na Mungu uwe jambo la kudumu katika maisha yenu; kama mkiishi namna hiyo hamtaanguka kamwe.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo, ndugu zangu, fanyeni bidii zaidi kuuthibitisha wito wenu na uteule wenu. Kwa maana mkifanya hivyo, hamtajikwaa kamwe
Shirikisha
Soma 2 Petro 1