2 Petro 1:19
2 Petro 1:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
Shirikisha
Soma 2 Petro 12 Petro 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena, ujumbe wa manabii watuthibitishia jambo hilo; nanyi mwafanya vema kama mkiuzingatia, maana ni kama taa inayoangaza mahali penye giza mpaka siku ile itakapopambazuka na mwanga wa nyota ya asubuhi utakapong'ara mioyoni mwenu.
Shirikisha
Soma 2 Petro 1