2 Petro 2:19
2 Petro 2:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Huwaahidi uhuru hao waliowanasa, wakati wao wenyewe ni watumwa wa ufisadi: kwa maana mtu ni mtumwa wa kitu chochote kinachomtawala.
Shirikisha
Soma 2 Petro 22 Petro 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe wao wenyewe ni watumwa wa upotovu – maana mtu ni mtumwa wa chochote kile kinachomtawala.
Shirikisha
Soma 2 Petro 2