2 Petro 3:18
2 Petro 3:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Bali kueni katika neema na katika kumjua Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na milele! Amen.
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina.
Shirikisha
Soma 2 Petro 3