2 Petro 3:8
2 Petro 3:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini wapenzi, msisahau neno hili: kwamba kwa Bwana, siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Shirikisha
Soma 2 Petro 32 Petro 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! Mbele ya Bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.
Shirikisha
Soma 2 Petro 3