2 Samueli 10:12
2 Samueli 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uwe hodari, tuwe na ujasiri, kwa ajili ya watu wetu, na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye BWANA afanye yaliyo mema machoni pake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 102 Samueli 10:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Uwe hodari, tukajitie moyo mkuu, kwa ajili ya watu wetu, na kwa ajili ya miji ya Mungu wetu; naye BWANA afanye yaliyo mema machoni pake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 10