2 Samueli 12:9
2 Samueli 12:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa nini basi, umedharau neno langu mimi Mwenyezi-Mungu ukafanya uovu huu mbele yangu? Umemuua Uria Mhiti, kwa upanga, ukamchukua mke wake kuwa mkeo. Umewatumia Waamoni kumwua Uria vitani!
Shirikisha
Soma 2 Samueli 122 Samueli 12:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa nini umelidharau neno la BWANA, na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti, kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemwua huyo kwa upanga wa Waamoni.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 12