2 Samueli 14:14
2 Samueli 14:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa hatuna budi kufa, nasi tu kama maji yaliyomwagika chini, yasiyoweza kuzoleka tena; wala Mungu haondoi maisha ila hufikiri shauri, kwamba yeye aliyefukuzwa asiwe mkimbizi kwake.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 142 Samueli 14:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisi sote lazima tutakufa. Sisi ni kama maji yaliyomwagika chini ambayo hayazoleki. Hata Mungu hafanyi tofauti kwa mtu huyu na tofauti kwa mwingine; yeye hutafuta njia ili waliopigwa marufuku, wakakimbia, wapate kurudi.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 14