2 Samueli 22:3
2 Samueli 22:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu wangu, mwamba wangu, ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu ya wokovu wangu, ngome yangu na kimbilio langu. Mwokozi wangu; unaniokoa kutoka kwa watu wakatili.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 222 Samueli 22:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu wa mwamba wangu, nitamwamini yeye; Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, mnara wangu, na makimbilio yangu; Mwokozi wangu, waniokoa na jeuri.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 22