2 Samueli 22:31
2 Samueli 22:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu njia yake ni kamilifu; Ahadi ya BWANA imehakikishwa; Yeye ndiye ngao yao Wote wanaomkimbilia.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 222 Samueli 22:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Anachofanya Mungu hakina dosari! Ahadi ya Mwenyezi-Mungu ni ya kuaminika; yeye ni ngao kwa wote wanaomkimbilia.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 22