2 Samueli 23:3-4
2 Samueli 23:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu wa Israeli alisema, Mwamba wa Israeli aliniambia, Atawalaye wanadamu kwa haki, Akitawala katika kicho cha Mungu, Atakuwa kama nuru ya asubuhi jua lichapo, Asubuhi isiyo na mawingu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 232 Samueli 23:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mungu wa Israeli alinena, mwamba wa Israeli akaniambia: ‘Mtu anatawala watu kwa haki, wakati anapotawala akiwa na hofu ya Mungu, yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo asubuhi isiyo na mawingu, kama mwanga baada ya mvua uchipuzao majani kutoka ardhini.’
Shirikisha
Soma 2 Samueli 232 Samueli 23:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu wa Israeli amesema, Mwamba wa Israeli ameniambia, ‘Mtu anapowatawala watu kwa haki, atawalaye kwa kumcha Mungu, yeye ni kama mwanga wa asubuhi, jua linapochomoza asubuhi isiyo na mawingu; naam, kama mvua inayootesha majani ardhini’.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 23