2 Samueli 24:25
2 Samueli 24:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye Daudi akamjengea BWANA madhabahu huko, akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Basi BWANA aliiridhia nchi, na tauni ikazuiliwa katika Israeli.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 242 Samueli 24:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Daudi akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu mahali hapo na kumtolea sadaka za kuteketezwa na za amani. Basi, Mwenyezi-Mungu akayakubali maombi kwa ajili ya nchi, na ile tauni iliyowakumba Waisraeli ikakoma.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 24