2 Samueli 3:18
2 Samueli 3:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
basi, sasa, fanyeni hayo; kwa maana BWANA amemtaja Daudi, akisema, kwa mkono wa mtumishi wangu, Daudi, nitawaokoa watu wangu Israeli katika mikono ya Wafilisti, na katika mikono ya adui zao wote.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 32 Samueli 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, lileteni jambo hilo hadharani kwa sababu Mwenyezi-Mungu alimwahidi hivi Daudi, ‘Kwa mkono wako wewe Daudi mtumishi wangu, nitawaokoa watu wangu wa Israeli kutoka kwa Wafilisti na kutoka kwa adui zao wengine.’”
Shirikisha
Soma 2 Samueli 3