2 Samueli 5:4
2 Samueli 5:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 52 Samueli 5:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arubaini.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 5