2 Samueli 7:22
2 Samueli 7:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na yale tuliyosikia, wewe Mwenyezi-Mungu ni mkuu; hakuna aliye kama wewe, na hakuna Mungu mwingine ila wewe.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 72 Samueli 7:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo, wewe ndiwe mkuu, Ee BWANA Mungu, kwa maana hakuna kama wewe, wala hapana Mungu mwingine ila wewe, kwa kadiri tulivyosikia kwa masikio yetu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 72 Samueli 7:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo, wewe ndiwe mkuu, Ee BWANA Mungu, kwa maana hakuna kama wewe, wala hapana Mungu mwingine ila wewe, kwa kadiri tulivyosikia kwa masikio yetu.
Shirikisha
Soma 2 Samueli 7