2 Wathesalonike 2:2 - Linganisha Matoleo Yote
2 Wathesalonike 2:2 BHN (Biblia Habari Njema)
msifadhaike upesi moyoni, na wala msitiwe wasiwasi kwa sababu ya madai kwamba siku ya Bwana imekwisha fika. Labda inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana na uaguzi fulani, mahubiri au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu.
Shirikisha
2 Wathesalonike 2 BHN2 Wathesalonike 2:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba msifadhaishwe upesi hata kuiacha nia yenu, wala msisitushwe, kwa roho, wala kwa neno, wala kwa waraka unaodhaniwa kuwa ni wetu, kana kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwapo.
Shirikisha
2 Wathesalonike 2 SUV2 Wathesalonike 2:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
kwamba msifadhaishwe upesi hata kuiacha nia yenu, wala msishtushwe, kwa roho, wala kwa neno, wala kwa barua inayodhaniwa kuwa ni yetu, kana kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwapo.
Shirikisha
2 Wathesalonike 2 SRUV2 Wathesalonike 2:2 NEN (Neno)
msiyumbishwe kwa urahisi wala msitiwe wasiwasi na roho, wala neno la unabii, au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu, kusema kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwepo.
Shirikisha
2 Wathesalonike 2 NEN