2 Wathesalonike 2:3
2 Wathesalonike 2:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yoyote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 2