Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 3:16 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wathesalonike 3:16 BHN (Biblia Habari Njema)

Bwana mwenyewe ambaye ndiye chanzo cha amani, awajalieni amani siku zote kwa kila namna. Bwana awe nanyi nyote.

2 Wathesalonike 3:16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Sasa, Bwana wa amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote. Bwana awe pamoja nanyi nyote.

2 Wathesalonike 3:16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Sasa, Bwana wa amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote. Bwana awe pamoja nanyi nyote.

2 Wathesalonike 3:16 NEN (Neno)

Basi, Bwana wa amani mwenyewe awapeni amani nyakati zote na kwa kila njia. Bwana awe nanyi nyote.