Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 3:8 - Linganisha Matoleo Yote

2 Wathesalonike 3:8 BHN (Biblia Habari Njema)

hatukula chakula kwa mtu yeyote bila ya kumlipa. Tulifanya kazi kwa bidii na taabu mchana na usiku ili tusiwe mzigo kwa mtu yeyote kati yenu.

2 Wathesalonike 3:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

wala hatukula chakula kwa mtu ye yote bure; bali kwa taabu na masumbufu, usiku na mchana tulitenda kazi, ili tusimlemee mtu wa kwenu awaye yote.

2 Wathesalonike 3:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

wala hatukula chakula kwa mtu yeyote bure; bali kwa taabu na masumbufu, usiku na mchana tulifanya kazi, ili tusimlemee mtu wa kwenu awaye yote.

2 Wathesalonike 3:8 NEN (Neno)

wala hatukula chakula cha mtu yeyote pasipo kukilipia. Badala yake tulifanya kazi kwa bidii usiku na mchana, ili tusimlemee mtu yeyote miongoni mwenu.