2 Timotheo 1:6
2 Timotheo 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana nakukumbusha ukiweke motomoto kile kipaji ulichopewa na Mungu wakati nilipokuwekea mikono yangu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo nakukumbusha, uichochee karama ya Mungu, iliyo ndani yako kwa kuwekewa mikono yangu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1