2 Timotheo 1:8
2 Timotheo 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kwa ajili ya Injili, kwa uweza wa Mungu
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 12 Timotheo 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, usione haya kumshuhudia Bwana wetu, wala usione haya kwa sababu yangu mimi niliye mfungwa kwa ajili yake. Lakini shiriki katika mateso kwa ajili ya Habari Njema, kadiri ya nguvu unayopewa na Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 1