2 Timotheo 2:24
2 Timotheo 2:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtumishi wa Bwana asigombane. Anapaswa kuwa mpole kwa watu wote, mwalimu mwema na mvumilivu
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2