2 Timotheo 3:12 - Linganisha Matoleo Yote
2 Timotheo 3:12 BHN (Biblia Habari Njema)
Kila mtu anayetaka kuishi maisha ya kumcha Mungu katika kuungana na Kristo Yesu lazima adhulumiwe.
Shirikisha
2 Timotheo 3 BHN2 Timotheo 3:12 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa.
Shirikisha
2 Timotheo 3 SUV2 Timotheo 3:12 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Naam, na wote wapendao kuishi maisha ya utauwa katika Kristo Yesu wataudhiwa.
Shirikisha
2 Timotheo 3 SRUV2 Timotheo 3:12 NEN (Neno)
Naam, yeyote anayetaka kuishi maisha ya utauwa ndani ya Kristo Yesu atateswa.
Shirikisha
2 Timotheo 3 NEN