2 Timotheo 4:18 - Linganisha Matoleo Yote
2 Timotheo 4:18 BHN (Biblia Habari Njema)
Bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika ufalme wake wa mbinguni. Kwake uwe utukufu milele na milele! Amina.
Shirikisha
2 Timotheo 4 BHN2 Timotheo 4:18 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana ataniokoa na kila neno baya, na kunihifadhi hata nifike ufalme wake wa mbinguni. Utukufu una Yeye milele na milele. Amina.
Shirikisha
2 Timotheo 4 SUV2 Timotheo 4:18 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Bwana ataniokoa na kila neno baya, na kunihifadhi hata nifike katika ufalme wake wa mbinguni. Utukufu una Yeye milele na milele. Amina.
Shirikisha
2 Timotheo 4 SRUV2 Timotheo 4:18 NEN (Neno)
Bwana ataniokoa katika kila shambulio baya na kunileta salama katika ufalme wake wa mbinguni. Atukuzwe milele na milele. Amen.
Shirikisha
2 Timotheo 4 NEN