2 Timotheo 4:7
2 Timotheo 4:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 42 Timotheo 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimefanya bidii katika mashindano, nimemaliza safari yote na imani nimeitunza.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 4