Matendo 1:14
Matendo 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hawa wote walikusanyika pamoja kusali, pamoja na wanawake kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawa wote walikuwa wakidumu kwa moyo mmoja katika kusali, pamoja nao wanawake, na Mariamu mama yake Yesu, na ndugu zake.
Shirikisha
Soma Matendo 1