Matendo 1:7
Matendo 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 1Matendo 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yesu akawaambia, “Nyakati na majira ya mambo hayo viko chini ya mamlaka ya Baba yangu, wala si shauri lenu kujua yatakuwa lini.
Shirikisha
Soma Matendo 1