Matendo 10:34-35
Matendo 10:34-35 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Petro akaanza kusema: “Sasa nimetambua kwamba hakika Mungu hana ubaguzi. Mtu wa taifa lolote anayemcha Mungu na kutenda yaliyo sawa anapokelewa naye.
Shirikisha
Soma Matendo 10Matendo 10:34-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo; bali katika kila taifa mtu amchaye na kutenda haki hukubaliwa na yeye.
Shirikisha
Soma Matendo 10