Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 12:6 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 12:6 BHN (Biblia Habari Njema)

Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. Alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.

Shirikisha
Matendo 12 BHN

Matendo 12:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Hata wakati Herode alipotaka kumtoa, usiku ule ule Petro alikuwa analala katikati ya askari wawili, amefungwa minyororo miwili; walinzi mbele ya mlango wakailinda gereza.

Shirikisha
Matendo 12 SUV

Matendo 12:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Hata wakati Herode alipotaka kumtoa, usiku ule ule Petro alikuwa analala katikati ya askari wawili, amefungwa minyororo miwili; walinzi mbele ya mlango wakalilinda gereza.

Shirikisha
Matendo 12 SRUV

Matendo 12:6 NEN (Neno)

Usiku ule kabla ya siku ambayo Herode Agripa alikuwa amekusudia kumfanyia mashtaka, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili, akiwa amefungwa kwa minyororo miwili. Nao walinzi wa zamu walikuwa wakilinda lango la gereza.

Shirikisha
Matendo 12 NEN