Matendo 13:47
Matendo 13:47 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Bwana alituagiza hivi: ‘Nimekuweka wewe uwe mwanga kwa watu wa mataifa, ili uwaletee watu wokovu pote ulimwenguni.’”
Shirikisha
Soma Matendo 13Matendo 13:47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
Shirikisha
Soma Matendo 13