Matendo 14:22
Matendo 14:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliwaimarisha waumini wa miji hiyo na kuwatia moyo wabaki imara katika imani. Wakawaambia, “Ni lazima sisi sote kupitia katika taabu nyingi ili tuingie katika ufalme wa Mungu.”
Shirikisha
Soma Matendo 14Matendo 14:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwahimiza wakae katika ile Imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya dhiki nyingi.
Shirikisha
Soma Matendo 14