Matendo 14:23
Matendo 14:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliteua wazee katika kila kanisa kwa ajili ya waumini, kisha, kwa kusali na kufunga, wakawaweka chini ya ulinzi wa Bwana ambaye walikuwa wanamwamini.
Shirikisha
Soma Matendo 14Matendo 14:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na walipokwisha kuwachagulia wazee katika kila kanisa, na kuomba pamoja na kufunga, wakawaweka katika mikono ya Bwana waliyemwamini.
Shirikisha
Soma Matendo 14