Matendo 15:11
Matendo 15:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Isiwe hivyo, ila tunaamini kwamba, sisi kama vile wao, tutaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu.”
Shirikisha
Soma Matendo 15Matendo 15:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vile vile kama wao.
Shirikisha
Soma Matendo 15