Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 15:24 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 15:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Tumesikia kwamba watu wengine kutoka huku kwetu waliwavurugeni kwa maneno yao, wakaitia mioyo yenu katika wasiwasi. Lakini wamefanya hivyo bila ya idhini yoyote kutoka kwetu.

Shirikisha
Matendo 15 BHN

Matendo 15:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa kuwa tumesikia ya kwamba watu waliotoka kwetu wamewasumbua kwa maneno yao, wakipotosha roho zenu, ambao sisi hatukuwaagiza

Shirikisha
Matendo 15 SUV

Matendo 15:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa kuwa tumesikia ya kwamba watu waliotoka kwetu wamewasumbua kwa maneno yao, wakipotosha roho zenu, ambao sisi hatukuwaagiza

Shirikisha
Matendo 15 SRUV

Matendo 15:24 NEN (Neno)

Tumesikia kwamba kuna baadhi ya watu waliokuja huko kutoka kwetu bila ruhusa yetu na kuwasumbua, wakiyataabisha mawazo yenu.

Shirikisha
Matendo 15 NEN