Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 16:14 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 16:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Miongoni mwa wale waliotusikiliza alikuwa mwanamke mmoja mcha Mungu aitwaye Ludia mwenyeji wa Thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya nguo za kitani za rangi ya zambarau. Bwana aliufungua moyo wake hata akayapokea yale maneno Paulo aliyokuwa anasema.

Shirikisha
Matendo 16 BHN

Matendo 16:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo.

Shirikisha
Matendo 16 SUV

Matendo 16:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo.

Shirikisha
Matendo 16 SRUV

Matendo 16:14 NEN (Neno)

Mmoja wa wale wanawake waliotusikiliza aliitwa Lidia, mfanyabiashara wa nguo za zambarau, raia wa mji wa Thiatira, aliyekuwa mcha Mungu. Bwana akaufungua moyo wake akaupokea ujumbe wa Paulo.

Shirikisha
Matendo 16 NEN