Matendo 17:29
Matendo 17:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa basi, sisi ni watoto wa Mungu, haifai kumfikiria Mungu kuwa kama dhahabu, fedha au hata jiwe lililochongwa na kutiwa nakshi na binadamu.
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, kwa kuwa sisi tu wazawa wa Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za wanadamu.
Shirikisha
Soma Matendo 17