Matendo 17:31
Matendo 17:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
Shirikisha
Soma Matendo 17Matendo 17:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua. Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka kwa wafu!”
Shirikisha
Soma Matendo 17