Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 17:8 - Linganisha Matoleo Yote

Matendo 17:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa maneno hayo waliwatia wasiwasi wakuu wa mji na kundi la watu.

Shirikisha
Matendo 17 BHN

Matendo 17:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo.

Shirikisha
Matendo 17 SUV

Matendo 17:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakafadhaisha ule mkutano na wakubwa wa mji walipoyasikia hayo.

Shirikisha
Matendo 17 SRUV

Matendo 17:8 NEN (Neno)

Waliposikia haya, umati ule wa watu na maafisa wa mji wakaongeza ghasia.

Shirikisha
Matendo 17 NEN