Matendo 18:10
Matendo 18:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakayekushambulia ili kukudhuru; kwa maana mimi nina watu wengi katika mji huu.
Shirikisha
Soma Matendo 18Matendo 18:10 Biblia Habari Njema (BHN)
maana mimi niko pamoja nawe. Hakuna mtu atakayejaribu kukudhuru maana hapa mjini pana watu wengi walio upande wangu.”
Shirikisha
Soma Matendo 18